27 January 2015

Henry Kulaya: Mtanzania ambaye ni mkuu wa shule ya Nottingham Academy, Uingereza

 Mtanzania Henry Kulaya (kulia pichani) ni mkuu wa shule ya Nottingham Academy, Uingereza. Alikuwa ni mkazi wa Mbezi Madukani, Dar es salaam. 

- Hizi ni academy maarufu kwa watoto wenye vipaji , kiakili, yaani hutoa elimu ya darasani , michezo , lugha na vinginevyo, lakini uwezi kuamini.

Kwa taarifa zaidi soma => http://goo.gl/04rLXv

Mtanzania Henry Kulaya (kulia pichani) ni mkuu wa shule ya Nottingham Academy, Uingereza. Alikuwa ni mkazi wa Mbezi Madukani, Dar es salaam.


Pichani ni jengo la Nottingham Academy, Ni academy pacha na ile ya West Nottingham language academy. Zote hizi zipo nchini England barani ulaya.

Hizi ni academy maarufu kwa watoto wenye vipaji , kiakili, yaani utoa elimu ya darasani , michezo , lugha na vinginevyo, lakini uwezi kuamini.Mkuu wa hizi academy ni mtanzania mwenzetu ndugu HENRY KULAYA ambae alikuwa mkazi wa Mbezi Madukani,Dar es Salam.


Mimi ninachoomba serikali yetu inajaribu kuwaomba wasomi wetu kama hawa kurudi nyumbani na kuwapa maslahi bora ili wainue uchumi wetu maana England inajivunia kuwa na msomi kama huyu ndio maana wakampa nafasi kubwa kabisa katika academy hiyo yenye walimu 60 na wanafunzi 200.

Hao walimu toka mataifa mabalimbali yakiwemo Ulaya,Asia,South Amerika na Marekani lakini wanaongozwa na mtanzania.

Wakati umefika serikali yetu tuamke jamani, hazina kama hizi zinaishia ulaya ,kweli!! " Ukisema chanini mwenzako anajiuliza atakipata lini.

Huyu mkuu wa hizi academy yupo na ukweli atarajia kurudi Tanzania ingawa bado ni raia wa Tanzania


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname