DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU LEO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA
Mwanamuziki
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo
kesho kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika
Jiji la Lagos nchini Nigeria. (Picha na Facebook)
No comments:
Post a Comment