Shehe aliyefariki akizika. Tukio hilo lililowaacha watu na machozi lilijiri katika Makaburi ya Nonde jijini hapa wakati wa mazishi ya marehemu aliyejulikana kwa jina la Mayasa Salmini au Bibi Majuto aliyefariki dunia katikati ya wiki iliyopita.
Aliyekuwa Shehe Mkuu wa Bakwata Wilaya ya Mbeya, Abubakar Mketo amefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita kufuatia kuanguka ghafla makaburini wakati akitoa mawaidha ya Kiislam ya jinsi waumini wanavyotakiwa kuishi katika ulimwengu wa dhambi! Inauma sana!
ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, baada ya kumaliza kuusitiri mwili wa marehemu Bibi Majuto ndani ya nyumba yake ya milele, Shehe Mketo alisimama na kuanza kutoa mawaidha kwa waombolezaji waliohudhuria mazishi hayo akiwaelekeza namna ya kuishi kwa kutii amri za Mungu na kufuata njia zake kwa vile hakuna anayejua atakufa lini kama ilivyokuwa kwa marehemu Bibi Majuto.
HEBU MSIKIE
Vyanzo vinadai kuwa, dakika chache kabla ya shehe huyo hajapatwa na mauti alionekana ni mwenye afya njema huku akitoa Neno la Mungu ambalo kila mtu aliyekuwa eneo hilo la makaburi lilimgusa na kujitafakari upya njia zake, alisema:SOMA ZAIDI>>>
Situation the idea hence the monitor can be smaller and earlier mentioned eyesight amount. You happen to be currently seeing on your own chanel replica handbags your video. And then, (The first step) think about transferring on your own way up out of your seats along with in the projection cubicle which has a Plexiglas safeguard throughout the cubicle so you get entire command in the video along with to be able to end the idea without notice. Through the projection chanel replica bags, you’re seeing on your own; seeing on your own, enjoy your video. This can be named increase dissociation through the worry. (Step) Seeing derived from one of figure ahead of case transpired that will induced driving a vehicle, manage your video onward throughout black-and-white over the chanel replica bags celebration along with concluding following celebration in addition to being your video fades straight into bright. Currently, (Step) float on your own through the projection cubicle down into your seats inside cinema along with participate in your video backward, playing with coloring along with speedily, this also occasion, in no matter what the thing is that anyone worry, placed a new clown nasal into it and also a interesting chanel replica handbags, similar to Daffy Duck’s, as well as bazaar tunes along with manage the idea in a short time. Do it again measures 1-3 3 to 5 periods, whenever speedier as opposed to one particular ahead of. Detect how we experience currently regarding the issue anyone anticipated. You’ll identify that that you will have a good laugh with the issue anyone after anticipated. If your worry isn’t decreased concise you choose, you'll be able to do this again typically while essential unless you find chanel replica bags fot it place.
ReplyDelete