30 December 2014

DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI BATA MWANZO MWISHO KUTOKA BURUNDI HADI RWANDA!!


Baada ya show yake ya Burundi, Diamond Platnumz amefunga safari na Zari The Boss lady wakielekea Rwanda ambako kwa mujibu wa Post ya Diamond, atakuwa huko mpaka mwaka 2015.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname