26 November 2014

WEMA SEPETU KWA CHAMELEONE DIAMOND PLATINUM KWA ZARI THE BOSSLADY NDANI YA UGANDA TAR 18.

Katika hali ya sintofahamu kwa mahusiano ya mastaa wakubwa wawili wanaopendwa sana na vijana,Wema Sepetu na Diamond ikiendelea wamewachanganya zaidi pale walipoamua kupromote show za mahasimu
wawili wa Uganda,Wema akiwa kwa Dr. Jose na Diamond akiwa kwa the bosslady Zari,show ambazo zitapigwa tarehe moja lakini kumbi tofauti,ni kati ya show za gharama kuwahi kufanyika Uganda.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname