26 November 2014

MZAZI MWENZA WA MH. JOSEPH MBILINYI "SUGU" AFYATUA MATUSI MTANDAONI!

Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, mwanadada Faiza Ally ameamua kuwatolea uvivu watu wanaodai kuwa ameachwa na mheshimiwa huyo kutokana na mavazi yake. 

Faiza ambae ana mtoto na Sugu, katika instagram ameandika:“Sasa leo ngoja nifunguke…. Yaani nikiweka picha zangu kwa raha zangu mnaanza kusema oh
ndio maana SUGU kakimbia ndio maana kaniacha Nasema hivi MIMI NDIO NIMEMUACHA mkome kunisema nimeachana na nimemuacha tukiwa kwenye process za ndoa na tulishakutana na padri na kwenye jumuiya nilisha anza ….SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname