Rais uhuru Kenyata ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa nchini Kenya kutokana na matukio mengi anayoyafanya, mengi yakiwa yale ambay ni mara chache sana kumuona rais akifanya. Mfano ni kama lile tukio la kutoka ikulu akiwa hana bila ya walinzi, kucheza mziki katika matamasha mbalimbali na lile la kusimamisha msafara wake kisa tu anunue karanga.
Jipya alilolifanya siku ya jana ni pale alipoamua kutumia usafiri wa
Matatu au kwetu tunaita Daladala kwenda mjini. Inasemekana Rais Kenyata
ndio rais wa kwanza ktumia usafiri huo akiwa madarakani, marais wote
waliopita hawajawahi kuutumia wakiwa madarakani. Kikubwa kingine
alichosema na kimeungwa mkono na vijana wengi ni kuruhusu Daladala
kuchorwa Graffit jambo ambalo limekua likizuiliwa na uongozi nchini humo
kwa mda sasa. Rais Kenyata alisema ” To be frank why are we interfering
with graffiti on Matatu? Let us promote our young people – Uhuru Kenyatta ”
Unaweza tazama picha za tukio hilo hapa chini
No comments:
Post a Comment