17 November 2014

POMBE SIO CHAI...BINTI WA KIARABU ALEWA, AFANYA VIOJA!


Binti huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja akifanya yake. Tukio hilo la aibu lilijiri kwenye onesho la Kundi la Mashauzi Classic ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar ambapo lilikuwa likitambulisha albam yake mpya ya Sura Surambi, Sura Siyo Roho.
POMBE si chai! Binti mrembo mwenye asili ya Kiarabu ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akifanya vioja baada ya kulewa chakari na kusababisha midume kumtolea udenda, Ijumaa Wikienda lilimpiga chabo.

...Akizidi kuserebuka ndani ya ukumbi huo. Awali binti huyo alionekana ukumbini humo akiwa mpole na mwenye sura ya sonihuku akipata kilaji polepole kabla ya kumkolea na kuwa staa wa kubinuka kihasarahasara na kumwaga ‘lazi’ mbele ya kadamnasi huku akiacha sehemu ya maungo yake nyeti kweupe.INAENDELEA>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname