12 November 2014

PENNY NA WEMA WAANZA KUTEMBELEANA

Baada ya kupatanishwa jumamosi ya November 8 2014, Wema na Penny sasa wameamua kuonyesha wazi kuwa hakuna beef kati yao na mambo yote yako wazi. Penny ameonekana akiwa karibu na Wema nyumbani kwake hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname