Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita akiwa Hospitali ya Ocean Road, Sadick alisema mguu wake ulikatwa kwa mara ya kwanza baada ya kuungua moto mwili mzima alipokuwa amekwenda kuvuna korosho.
Kijana mmoja Sadick Suleiman (24) (pichani), mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam amesema kuwa madaktari wanataka kuukata mguu wake kwa mara ya tatu baada ya oparesheni mbili kufanyika pasipo mafanikio.“Nakumbuka nikiwa darasa la nne, nikiwa na watoto wenzangu
tulikwenda kuokota korosho shambani Mtwara vijijini nilikokuwa nikiishi na wazazi wangu, huko kuna kawaida ya watu kuandaa mashamba yao kwa kuyachoma moto.
tulikwenda kuokota korosho shambani Mtwara vijijini nilikokuwa nikiishi na wazazi wangu, huko kuna kawaida ya watu kuandaa mashamba yao kwa kuyachoma moto.
“Sasa mimi na mwenzangu ambao tulikuwa wakubwa tukiwa hatujui nini kinachoendelea tulipanda juu ya mti kwa ajili ya kuangua korosho huku wenzetu wakiwa chini wanasubiri kuokota, tukiwa juu tukaona moto unawaka unakuja tulipokuwa lakini kabla hatujashuka chini, ukatuzingira,” alisema Sadick.i.SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment