20 November 2014

MUVI YA DIAMOND NA ZARI THE BOSS LADY...MCHEPUKO WA ZARI AJIWEKA KANDO NA KUFUNGUKA HAYA


Ninaripoti kutoka Uganda kama ifuatavyo: 
Baada ya Diamond kujisevia Zari kiulaini bila kutumia nguvu boyfriend wa Zari aamua kujiweka kando kwa madai kwamba ni bora awe single kuliko kuwa na Mwanamke asiyejiheshimu.

Ameorodhesha tuhuma 5 ikiwemo kupasha kiporo na baba watoto wake, kuwa na mitafaruku ya mara kwa mara kuhusu mali za exhusband Ivan, kukutana na Diamond kwenye Ndege kisha kumalizana kiutu uzima na nyingine 3 Kama alivyoziorodhesha.

Hata hivyo mchepuko mwingine wa Zari (basketballer LK4 BBA season 7 ambaye alikuwa anachepuka na Zari wakati Zari yuko ndoani) alimlaumu farouque kwa kumuuliza "are you mad"?Pamoja na lawama za LK4 bado jamaa anaonekana kuchoshwa na uchepukaji wa bidada kwani genye zake ziko karibu.SOMA ZAIDI>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname