20 November 2014

HALIMA KIMWANA: SIHUSIKI UHUSIANO WA DIAMOND NA ZARI

 

Mdada wa mjini ambaye ni dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana amedai kuwa hahusiki na uhusiano unaoendelea kati ya kaka yake huyo na mrembo kutoka Uganda, Zari. 


Dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana akipozi naye.. SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname