The Choice

12 November 2014

MENINA:SIJATOA MIMBA

 .Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick.
Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho
“Jamani mimi ni mdogo, kwanza kwa nini watu wanapenda kunibebesha vitu vikubwa, mimi sijawahi kubeba wala kuchoropoa mimba katika maisha yangu,” alisema msichana huyo.
 
Meninah Atick akipozi.

Meninah alienda mbele zaidi na kusema maneno hayo yanaweza kuwapandisha hasira wapenzi wa Diamond na kumjengea nao chuki, wakati ukweli ni kwamba hajawahi kutoka na msanii huyo mwenye historia ya kutoka na wasichana wengi.
Posted by Jason at 09:27
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • NEW MUSIC; "VAA TWENDE - BIGG BOSS
  • Breaking Newzzzzz.........ANGALIA PICHA Dr.ULIMBOKA ALIVYO UMIZWA BAADA YA KUTEKWA
  • MAHARATA
  • ---->ZAWADI NONO YA TSH. 30,000 TABIRI NANI ATAIBUKA MSHINDI LEO KATI YA..... (ARSENAL V/S LEICESTER CITY )
  • DIAMOND AFUNGA MITAA YA TANDALE NA TUZO YAKE
  • ERICK SHIGONGO ASEMA WATANZANIA TUAMKE ,TUSIKUBALI KUDHARAULIWA
  • HIZI NDO RADIO BORA 20 BARANI AFRIKA..CLOUDS FM YASHIKA NAFASI YA 7
  • Rais Magufuli awahamisha watumishi wa afya katika jengo la muhimbili, ili kina mama wanao lala chini waweze kutumia jengo hilo
  • RAIS MAGUFULI AMFANYA KINGUNGE KUVUNJA AHADI YAKE...NAKUTOA KAULI HII
  • HIVI NDIVYO BILIONEA MENGI NA MKEWE WANAVYOISHI KATIKA PEPO AMBAYO WENGI HAWAIJUI

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.