21 November 2014
MARTIN KADINDA AZUNGUMZIA KUHUSIANA NA KUACHANA KWA DIAMOND THE PLATNUMZ NA WEMA SEPETU
Oyooooooo...naona now tunaanza kupangiana maisha aiseee... This is my
personal page i post about myself and kazi zangu za ushonaji na
ubunifu.... Ukiona post about @diamondplatnumz @wemasepetu
@officiallulumichael @petitman_wakuache or any other person.. Its
because those are my people niko nao mara nyingi ila sio lazima to post
anything about them.... So if i post am having sex... Am naked.. Am
eating or anything its my page.... GET That.... back to BMW and
mahusiano ya hao watu wawili sihusiki na sina taarifa about kuachana
kwao... Na kama wameachana watakuwa wamechokana wenyewe.... Mimi niwe
chanzo cha kuachana kwao kwakuwa nilikuwa kuwadi wa kuwakutanisha?? Kawa
walivyotongozana ndo watakavyoachana.... Tatizo lenu mmekariri maisha
na akili za matope kulainika kila mkimwagiwa maji..... Ukijiona ni
bingwa wa matusi fungua page yako tukana...... Nasemajeeeeeeee
#NdoIshakuwa na mkae mkijua FARASI UMPANDAE AKUTISHI KWA MBIO
ZAKE........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment