Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’. Historia inaonesha dogo huyo kutoka Tandale aliwahi kufanya kazi na msanii mrembo kutoka nchini Kenya, Avril na ikadaiwa licha ya kukutana kikazi jamaa alimsaliti mpenzi wake wa enzi hizo, Penniel Mwingilwa.
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amekamilisha ‘TAKEU’ kwa mademu baada ya kufanikiwa kutembea na mademu wanaosifika kwa uzuri kutoka Tanzania, Kenya na Uganda.
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu. Aidha, Diamond amekuwa mpenzi wa Beautiful Onyinye, Wema Sepetu kwa muda mrefu kabla ya hivi karibuni wawili hao kuamua kupeana likizo.SOMA ZAIDI>>>>
No comments:
Post a Comment