Kweli kuna msemo unasema ujafa ujambika na ule mshukuru mungu kwa kila jambo kwa kuwa na unguvu unacheka na unamiguu miwili kuwa wenzako hawana hata sura yani uso kama huyu mtoto aliyezaliwa bila ya uso,Mtoto huyu mabye jina lake ni Juliana
amezaliwa bila ya uso amba mpaka sasa ameshafanya operation zaidi ya 45 bila ya mafanikio lengo likiwa ni kuweka sura ambapo madaktari wamesema anaweza kubaki hivyo hivyo mpaka mwisho wa maisha yake
Picha zake ziko hapa chini.......
No comments:
Post a Comment