08 November 2014

KIJANA MOSES SHAWA AKAMATWA NA NYETI ZA MWANAUME

Pichani hapo chini nikijana anayefahamika kwa jina la Moses Shawa, kijana huyu ni mkazi wa kijiji cha Mzimba nchini south africa. Kijana huyu amekamatwa na sehemu nyeti za mwanaume kama zinavyo onekana hapo kwenye picha, amekamatwa na uume pamoja na
korodani kijana huyu amekamatwa jana katika eneo la Greyward Mseketa ambapo baada ya kukamatwa amepiga sana mpaka sasa amelazwa katika hospital ya Mzimba.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname