![](http://3.bp.blogspot.com/-_h0jbXnSAoU/VGGiVh6y3iI/AAAAAAAAvS0/T_ppR783KBc/s640/JOKATE67.jpg)
Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni producer wa studio hiyo Allonem, alisema Jokate amebadilika na kuimba nyimbo za Kiswahili na kudai amebadilika kutoka kwenye uimbaji wa kutumia Kiingereza zaidi.
“Jokate tumefanya naye kazi mbili, moja imeshatoka ni ile ambayo ali-perform kwenye show ya Fiesta Mwanza na baada ya hapo tukakaa chini na kuandaa wimbo mpya ambapo mpaka sasa hivi upo katika hatua za mwisho,” amesema producer huyo. SOMA ZAIDI>>>>

No comments:
Post a Comment