Billionare Zari Asafiri Kutoka Uganda Kuja Tanzania Kuonana Na Diamond Picha Zake Wakila Bata Za Leta Gumzo Instagram.
Diamond alikuatana na Billionaire huyo kutoka Uganda wakiwa London
ambapo msanii huyo alimkaribisha tajiri huyo Zari ambapo siku ya jana
walitoka wote Out na kula bata kidogo. Japo Zari mwenye hakusema kwanini
anakutana na msanii huyo lakin aliwahi kusema kwamba wana mawasiliano
ya siku nyingi na msanii huyo ambapo yeye mwenyewe alikiri alikutanisha
na Diamond kutoka kwa baadhi ya marafiki zake ndipo alipomwomba wakutana
yani Outing Day,Usijekushanga siku unasiki huyu ndie shemeji yetu kwa
msanii Chibu Dangote
No comments:
Post a Comment