Mjadala wa Rioti ya CAG Kuhusu Akaunti ya Escrow hali tete Bungeni Mjini Dodoma.Wabunge wote washinikiza Mjadala huo Kusomwa lakini Mwenyekiti wa Bunhe Mbunge wa Ilala Mh Zungu ameahirisha Bunge mpaka saa kumi na moja jioni.Utata ulianza mara ya kiindi cha maswali na majibu kilioisha ndio
wabunge wengi kutoka vyama mbalimbali vinavyounda Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania waliposimama kuomba Muongozo.SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment