26 November 2014

BAADA YA BIFU LA MDA MREFU DIAMOND PLATNUMZ ATOA OFFER YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF


Mwaka 2012 kuliiuka na beef kati ya q chillah na diamond platnumz, na ilikua inaonekana kuwa Chillah ndiye mwenye tatizo na diamond kwa sababu kabla Diamond alikua anamtaja chilla kama moja kati ya wasanii waliomu inspire
kuingia ndani ya game ya bongo flava, lakini baadae Q chief akaanza kumtuhumu diamond kuwa anampiga mitishamba na kuchukua nyota yake

Inataka kujua beef hiyo imeisha vipi? SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname