The Choice

13 November 2014

BABY MADAHA SITUMII KINGA HATA SIKU MOJA

 Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha
BAADA ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku moja. 
Akipiga stori na paparazi wetu, Baby Madaha alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine yanaendelea hivyo akishahakikisha huyo mwanaume ni mzima huwa ahangaiki kutumia kinga. “Japokuwa nawapanga wanaume lakini
najali sana afya yangu yaani kila baada ya miezi mitatu huwa naenda kupima kabla sijaingia naye kwenye uhusiano, nikikuta yuko fresh tunaendelea na mapenzi yetu na huwa situmii kinga kwa sababu nakuwa nimeshajua afya yake.   Ikitokea amenizingua nampiga chini namchukua mwingine naenda kumpima hivyohivyo maisha yanasonga mbele,” alisema Baby Madaha.
Posted by Jason at 12:00
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • HATIMAYE MKUBWA FELA AWACHANA LIVE KILIMUSIC AWARDS...CHEKI ALIVYO FUNGUKA
  • MREMBO ANAYETIKISA MITANDAO YA KIJAMII BONGO ASUBUHI YA LEO
  • Hii ndio Mishahara ya Marais wa Afrika,Rais Kikwete aongoza Afrika ya Mashariki
  • Rekodi yawekwa: Floyd Mayweather v Manny Pacquiao tiketi zaisha ndani ya sekunde 60
  • ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)
  • Diamond afunguka kwa mara ya kwanza kile kilichomkuta akiwa polisi, soma hapa
  • MTV MAMA 2015 : DIAMOND PLATINUMS ASHINDA TUZO YA KWANZA BEST LIVE
  • HAKIKA MUZIKI UNALIPA TAZAMA PICHA YA JUMBA LA MSANII LINAH,HONGERA KWA HATUA
  • KAMA ULIKUWA HUJUI HUYU NDIYE MKE WA MKONGWE WA MZIKI WA BONGO FLEVA PROF JAY
  • PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.