07 November 2014

AIBU:NJEMBA ADAIWA KURUBUNI WAKE ZA WATU KINGONO ANASWA

Wakinamama (kushoto) wakimficha mwenzao (mke wa mtu) aliyenaswa kwenye ghetto la njemba mwenye asili ya Kiarabu, Hemed.

Mji wa Morogoro umekumbwa na matukio mfululizo ya mafumanizi ambapo baada ya ticha wa shule ya msingi kufumaniwa na dereva wa bodaboda kisha jamaa kubondwa kwa kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu vichakani na denti wa upadri kufumaniwa, mwanzoni mwa wiki hii fumanizi lingine kiboko la njemba mwenye asili ya Kiarabu limetokea.Kwenye Kata ya Mazimbu mjini
hapa mwanaume aliyefahamika kwa jina moja la Hemed, anadaiwa kunaswa laivu na mke wa mtu kwenye chumba anachoishi kilichopo Mtaa wa Boma mjini hapa.
Ikiwa kazini, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilinyetishiwa kuwepo kwa ishu hiyo hivyo kufika eneo la tukio ndani ya dakika sifuri na kunasa tukio hilo likiwa bichi.

Wakinamama hao wakifanya juhudi kumtoa mke wa mtu (mwenye sidiria) eneo la tukio.HABARI KAMILI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname