Picha za palikofanyika birthday party ya Diamond… kabla watu hawajaingia + video fupi za Wema na Diamond
Party
ilifanyika Golden Jubilee Towers Dar es salaam ambapo kama hujaona
pichaz za kilivyohappen unaweza kuchek post iliyotangulia kabla ya hii
kwenye hii siku kubwa ya Diamond aliyotimiza miaka 25 ya kuzaliwa. Unataka niwe nakusogezea kila stori inayonifikia zikiwemo pichaz,
video’s na stori zenyewe? niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
twitter instagram na facebook cha kufanya ni kujiunga na mimi kwa
No comments:
Post a Comment