30 October 2014

MWANAMKE AFARIKI DUNIA WAKATI AKIFANYIWA UPASUAJI WA MAUMBILE YAKE

Mwanamke mmoja amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kurekebisha maumbile.Mwanamke huyo raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 24 amefariki nchini Thailand alikokwenda kufanyiwa upasuaji huo, ambapo taarifa kutoka nchini humo zinasema baada ya kupatiwa vidonge vya usingizi mapigo yake ya moyo yalisimama.Taarifa kutoka Thailand zinasema upasuaji huo ni wa awamu ya pili kufanyiwa, baada ya kutoridhiwa na matokeo ya upasuaji wa awali.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname