Leo,
Octber 2, Staa wa muziki wa bongo flava Nasibu Abdul aka Diamond
anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka
25.Mpenzi wake, Wema Abraham Sepetu ambaye huenda wengi wanasubiri
kusikia atasema nini au atatoa zawadi gani kwa Diamond ambaye alimpa
gari aina yaNissan Murano, ameandika machache kwenye Instagram na
kueleza kuwa anajipanga kuandika ujumbe mzuri zaidi. 02 October 2014
BIRTHDAY YA DIAMOND PLATINUMZ: WEMA SEPETU AUMIZA KICHWA! JIONEE MWENYEWE HAPA!
Leo,
Octber 2, Staa wa muziki wa bongo flava Nasibu Abdul aka Diamond
anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka
25.Mpenzi wake, Wema Abraham Sepetu ambaye huenda wengi wanasubiri
kusikia atasema nini au atatoa zawadi gani kwa Diamond ambaye alimpa
gari aina yaNissan Murano, ameandika machache kwenye Instagram na
kueleza kuwa anajipanga kuandika ujumbe mzuri zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment