Kuna
tetesi kuwa Wema Sepetu na Diamond Platnumz hawapo tena pamoja.
Magazeti ya udaku yameandika kuwa Diamond anataka kuoa.. lakini mwanamke
anayetaka kumuoa si Wema, ni Meninah! Hatujaweza kuthibitisha ukweli wa
tetesi hizo lakini kuna dalili nyingi kuwa hakuna amani tena
paradiso.Tetesi za kuvunjika kwa power couple hiyo ya Bongo,
zimechochewa zaidi na post ya mafumbo ya Wema Sepetu kwenye Instagram.
Katika post hiyo, Wema ameweka picha yenye rangi nyekundu pekee yake na
kuandika ‘I shouldve known’.Picha hiyo imezua maswali mengi kwa followers wake zaidi ya 211,133 kwenye mtandao huo unaopendwa Tanzania.
modestae68
@wemasepetu haya mbwa mwitu huyoooo katoka hakuna cha princess
sasha,superstar wala ile filam uliyosema unacheza kama mgonjwa wa kansa
ukanyoa kipara yaani naumia kuona hivyo wema vp? Acha mambo ya kugawa
pesa majukwaani sio wote wanaokushangilia unapopanda ktk majukwaa
wengine wanakuzomea hukui? Acha kulewa sifa za team za kukusifia kila
ufanyalo yaani sijui niseme nn nikiona wenzio wanavyosonga mbele naumia
alafu wewe unaonyesha ufahari majukwaani mmmh kweli hakuna kizuri
kinachokosa kasoro haya watakaonitukana poa tu lkn mm wema ni kama mdogo
wangu nampenda sana ndio maana namwambia sasa wale waliozoea kutukana
tukaneni mpaka mchoke lkn nyie nyie mlikuwa mnasema ktk kampen ya bring
our wema hivyo sitoshangaa.mm nitaongea mpaka siku nikiona mabadiliko
nafikiri ndio siku nitakayoridhika japo ni kwa faida yake na siyo yangu
ila sio mbaya kumwambia mtu kitu chenye faida kwake hata kama huna faida
nacho.am still love u wema.
No comments:
Post a Comment