Jana
mashabiki walimshambulia Beyonce kwa picha aliyopost kwenye Tumblr
ikiwa ni moja kati ya picha za kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
alizopiga mapema mwezi huu, ikimuonesha akishuka ngazi akiwa ndani ya
vazi la ufukweni. Madai ya mashabiki hao yaliyowekwa kwenye mtandao wa
TMZ pamoja na picha ni kwamba Beyonce alihariri sehemu iliyoonesha
nafasi kati ya mapaja yake ili aonekane mwembamba zaidi.
No comments:
Post a Comment