20 September 2014

BALOTELLI AMUONYESHA KAZI STERLING HADI AINGIA CHINI YA MEZA


MARIO BALOTELLI AMEONYESHA ANA KIPAJI KINGINE BAADA YA KUMCHAKAZA MCHEZAJI MWENZAKE RAHEEM STERLING KATIKA MCHEZO WA PING PONG AU TABLE TENISI. WACHEZAJI WA LIVERPOOL WAMEKUWA WAKIJIBURUDISHA KWA MICHEZO MBALIMBALI. BAADA YA MCHEZO KUWA MKALI, STERLING ALIJITAHIDI KUSAWAZISHA LAKINI KAMALI YA BALOTELLI YALIMSHINDA, AKAINGIA CHINI YA MEZA, LAKINI BAADAYE BALOTELLI NAYE AKAINGIA..HA HA HA HA.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname