Jipya ni kwamba aliyekuwa mke wa rapper Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ameweka picha yake akiwa kama alivyozaliwa kwenye kurasa yake ya instagram saa chache baada ya taarifa za talaka yake na Wiz Khalifa kusamba mitandaoni.
27 September 2014
Picha,Kabla Ya Talaka Yake Kukamilika Amber Rose Ameanza Kutoa Picha Za Utupu Tena.
Wiki moja iliyopita iliripotiwa kuwepo na picha za utupu zilizovuja
za Rihanna, Kim Kardashian, Vanessa Hudgens na mwigizaji Megan Good
ambazo zingevuruga maisha yao kama zingesambazwa kwenye mitandao. Pia
iliripotiwa kuwa baadhi ya masta hawa walifungua kesi kuzuia kusamba kwa
picha hizo kama zitakuwepo.
Jipya ni kwamba aliyekuwa mke wa rapper Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ameweka picha yake akiwa kama alivyozaliwa kwenye kurasa yake ya instagram saa chache baada ya taarifa za talaka yake na Wiz Khalifa kusamba mitandaoni.
Picha
iliambatana na ujumbe ” “Well before anyone tries to hack me i figured
i’d release a brand new pic of how i actually look from the back, its
only right…Enjoy.”
Jipya ni kwamba aliyekuwa mke wa rapper Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ameweka picha yake akiwa kama alivyozaliwa kwenye kurasa yake ya instagram saa chache baada ya taarifa za talaka yake na Wiz Khalifa kusamba mitandaoni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment