“Naamini
kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke
maana nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa
wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa
siku wanazishindwa, mimi nishamaliza vyote,” alisema Wolper pasipo
kufafanua kama tayari ameshampata mchumba au la.
Wolper
amewahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mastaa kadhaa akiwemo
Mohamed Mtoro ‘Dalas’ ambaye alimbadilisha dini ili waweze kufunga ndoa
lakini ikaota mbawa.
No comments:
Post a Comment