27 September 2014

NYANGUMI MWINGINE AONEKANA UFUKWENI PEMBA.

Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.

Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa bahari ya Pemba maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname