Jamani leo naona mitandaoni hii habari ya Msiba wa Mc Chimamy....
Inauma sana kuona wanawake tunapoteza Uhai wetu kwa sababu ya kuongeza au kuleta uhai wa mtu mwingine, kina mama tunazidi kuweka maisha yetu rehani kwa sababu ya kuongeza rasilimali watu.....yaani mwanamke akipata mimba anaanza kuingiwa na hofu ya kifo.... hata mie nilipokuwa mjamzito nilikuwa napata hofu sana sana.... siyo Haki hata kidogo....
Sitaki kulaumu lakini ifike mahali jambo hili la wanawake kufa kwa sababu ya uzazi lichukuliwe kwa umakini mkubwa na Serikali yetu.....
Mbona kuna nchi ambazo wanawake hawafi kwa sababu ya uzazi???? kwa nini wanawake wa Tanzania tunapuputika in the name of kuzaa?????

Takwimu
za vifo vya kinamama kufa kwa sababu ya uzazi ziko juu.... ni lazima
ifike mahali kinamama tukatae kufa kwa sababu ya kuleta rasilimali
watu....
Ni Lazima serikali iamuke na kutuhakikishia uhai wetu kinamama....
Jamani
dada Mc Chimamy Mungu ailaze pema roho yako wewe na mwanao mpz, ambae
ulikuwa unamsubiria kwa raha zote....rip my love.....
SOURCE-wanawake live
No comments:
Post a Comment