Tukio hilo lilijiri juzikati katika Viwanja
vya Leaders Club kwenye uzinduzi wa filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni
ambapo Johari alikuwa amekaa na kruu yake (huku wakigonga ulabu) ndipo
mmoja kati wenzake hao, akagusia stori za Ray kisha Johari alicheka na
kusema ipo siku Ray atarejea katika mikono yake
Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘Ray’.
“Ipo siku ambayo haijulikani tarehe wala mwaka Ray lazima atarudi katika mikono yangu kwani namfahamu sana Ray kuwa ni mtu wa kuruka lakini kwangu amefika,”alisikika Johari.


No comments:
Post a Comment