Amani! Wakati mumewe Sunday Demonte akidaiwa kuwa yuko mbioni kuhukumiwa kwenda jela huko Dubai, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga.Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga. Wakati anaondoka nchini hivi karibuni, Aunt alionekana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar, akiwa na mwanaume ambaye anadaiwa kuwa ni mume wa mtu, Moses Iyobo ‘Moze’.Baada ya habari hiyo kuripotiwa na gazeti tumbo moja na hili, Ijumaa Wikienda, Septemba 15, mwakahuu, ilidaiwa kwamba ndugu wa mumewe, Sunday hawakufurahishwa na kitendo hicho.
Wakipata msosi. “Tunashangaa kumuona Aunt ameambatana na mume wa mtu na huko anakoenda pia tunasikia watakuwa wawili tu na Kassim, inatutia shaka kwa kweli,”PICHA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment