DELHI,
IndiaAMA kweli majuu hamnazo, mzee mmoja nchini India ameamua kuishi
maisha ya kipekee kwa kutooga kwa miaka 37 sasa.Kutokana na uamuzi wake
huo, Kailash Singh (65) kutoka taifa hilo barani Asia, amevunja rekodi
ya dunia.Singh, 65 ambaye mbali ya kutokuoa pia hajanyoa nywele zake
ambazo kwa sasa zimefikia urefu wa futi 6 tangu mwaka 1974 baada ya
kuchukua jiko.Unaweza kujiuliza ni kwanini aliamua kuishi maisha hayo,
Singh
anasema kuwa aliahidiwa zawadi na mchungaji kama angefuata ushauri
wake.Maisha ya mzee huyo wa Kiindi yametawaliwa na uvutaji wa marijuana
na kusali kwa mungu wa Kihindu aitwaye Shiva huku akicheza pembeni ya
moto.Singh ambaye ana watoto saba, kuna siku familia yake ilimlazimisha
kwenda mtoni ili kuoga lakini alikataa na kuwakimbia.
No comments:
Post a Comment