E! news iliripoti pia kwamba kutengana kwa watu hawa kulikua kwa makubaliano ya kila mmoja na kwamba wawili hawa wataendelea kua marafiki milele.Hakuna mtu aliyetegemea kuvunjika kwa mahusiano yao hasa ukizingatia coupl hii ilikua pamoja kwenye ugawaji wa tuzo za MTV na Teen Choice mwezi uliopita
28 September 2014
Habari mbaya kwa wapenzi wa Jordin Sparks na Jason Derulo
E! news iliripoti pia kwamba kutengana kwa watu hawa kulikua kwa makubaliano ya kila mmoja na kwamba wawili hawa wataendelea kua marafiki milele.Hakuna mtu aliyetegemea kuvunjika kwa mahusiano yao hasa ukizingatia coupl hii ilikua pamoja kwenye ugawaji wa tuzo za MTV na Teen Choice mwezi uliopita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment