20 September 2014

DIAMOND ATAKA WEMA AMZALIE MTOTO...WEMA SEPETU AKATAA KWA KUOGOPA KUPOTEZA UMAARUFU

Diamond Platnumz kwa muda sasa amekuwa akimwambia mpenzi wake Wema Sepetu abebe mimba kwasababu yeye anataka mtoto lakini Wema amekuwa mgumu kukubali kudungwa mimba na Diamond kwasasa kwa madai kuwa hayupo tayari kuzaa muda huu sababu ikiwa ni kuwa atapoteza mvuto wake kiumbo na pia kuchuja kiumaarufu, kitu ambacho hakitaki.
Chanzo kilicho karibu na Wema na Diamond kimeiambia Mpekuzi kuwa:
"Ni muda sasa Diamond anataka mtoto tatizo Wema hataki, anaogopa kushuka umaarufu na pia kupoteza umbo lake lenye mvuto.
"Kitendo hicho kimemuweka njia panda Diamond kwa sababu pesa anayo ya kutosha kulea mtoto ila haelewi kwanini Wema hataki wapate mtoto eti kwa kisingizio cha kupoteza fame yake na umbo" 

Hata hivyo Diamond juzi kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii aliweka post inayoshabihiana na maelezo ya chanzo hicho. Diamond ni kama alikuwa amerusha Dongo hilo kwa Wema kwa kuandika ...SOMA ZAIDI HAPA>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname