27 September 2014

Davido Afunguka Juu Ya Kufanya Collabo na Rick Ross & Trey Songz, Asamoah Gyan pamoja na D’Prince.

Davido


Msanii Davido kutoka kule Nchini Nigeria amefunguka juu ya habari zilizokuwa zikizagaa kwenye mitandao mbalimbali ya habari nchini humo juu ya kufanya collabo na wasanii kutoka marekani kama Rick Ross,Trey Songz,Asamoah Gyan pamoja na msanii D’Prince na wengine wengi tizama video hii kuthibisha hilo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname