22 September 2014

ALIKIBA AFUNGUKA KUHUSU IDADI YA WATOTO ALIONAO NA MAISHA YAO



Mmoja kati ya watoto wa Alikiba!Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake.



Msanii anayetamba na nyimbo ya Mwana, Alikiba!
Akizungumza na jarida moja la burudani kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni alisema kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili yupo Dar es salaam na mama yake na wa tatu anaishi

Uingereza na mama yake.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname