22 September 2014

WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ: DONDOO MUHIMU KUHUSU MAHUSIANO YAO

When the president wa wasafi classic meet his first lady wema sepetu kila kitu seems to go as planned and fans expectations huwa zipo high.Diamond seems to be well atleast when he is with Wema,and fans wa hawa celebrity hapa bongo huwa siku zoke hukaa mkao wa kula kusikilizia suprises zozote watakazotoka nazo.Kama unakumbuka walivyorudiana mara ya pili wakati haukupita waliweza ku-post on I.G (instagram) some private moment wakiwa pamoja,fans wengi hupenda hii couple.This is known to be most popular celeb couple of all time ambayo imeweza kutokea na ikitokea kuwa mambo yameenda kushoto kidogo,the news do tend to travel fast na huwa inatokea mlipuko wa habari kuhusu wawili
hao when they do fall apart kitu ambacho ni sawa na pale wanapoamua kurudiana, huwa ni news ya wiki nzima hapa Bongo na kushangaza zaidi ni east africa nzima huwa inaongelea hii couple,hii inaongeza popularity kwao as celebs na hivyo hata mtu mgeni aliyeingia hapa TZ huwa yuko curious kuulizia about the life of this two Celebz and we all know that popularity means business these days.

Jina la Diamond Platmuz mbali ya kuwa popular in music industry,limekuwa jina ambalo vijana wengi hapa nchini wamekuwa na mtu wakumuangalia na kila mtu kutaka kuwa kama yeye,the way anavyo dress,anavyo nyoa na hata pozz tu sawa na wema sepetu kila mtu amekuwa anamu-admire kwa jinsi tu alivyo especialy young ladies,unaweza kusema wawili hawa ndio moja ya most influencial couples wa hapa bongo,its like brad pit na Jolie wa hapa Bongo.

They say Celeb couple huwa hawawezi kukaa katika relation muda mrefu,this is one of the reason Diamond and Wema ya ku-date ili waweze kuwa-prove wrong watu wengi wanaoamini huo msemo, mbali ya kuachana na na kurudiana mara kwa mara wawili hawa wamekuwa na drama zakutosha,as celebz they always do ila kwa hawa inaoneana kama bado mapenzi yao yapo pale pale no matter how many times they break up,the record says they are back together and its official now.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname