02 August 2014

WATOTO WAMVAA MAMA!

Mtoto wa marehemu Zainabu Amir, akionyesha daftari la vikao vya familia.
sakata la ugomvi wa mali zilizoachwa na bilionea maarufu Dar, Amir Tabu aliyefariki dunia hivi karibuni, limechukua sura mpya baada ya watoto wa marehemu kumvaa mama yao wa kambo, Mwanahamis Rajabu wakisema madai yake juu ya kudhulumiwa mirathi na mashemeji zake si ya kweli.Wakizungumza katika mahojiano maalum walipoibuka kwenye ofisi za gazeti hili, Bamaga-Mwenge, Dar, watoto hao, Zainabu Amir, Ibrahim Amir,Ismail Amir, Bilali Amir, Ally Amir na Mohammed Amir walidai kwamba wanamshangaa mama yao huyo kudai kuwa alifukuzwa na baba zao wadogo, jambo ambalo halina ukweli wowote.Walidai kwamba mama yao huyo alilenga kuichafua familia yao huku wakimuomba amuache baba yao apumzike huko aliko.“Wakati tukiwa msibani Bagamoyo tulikaa kikao cha familia zote yaani ya upande wa mwanaume na upande mwanamke, tena hadi baba yake mzazi alikuwepo, tulikubaliana kuwa mama akae Bagamoyo hadi arobaini itakapofika.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname