02 August 2014

BREAKING NEWZZZ......AJALI...AJALI...BASI LA HOOD TOKA MBEYA LAPATA AJALI NA KUUA

 

Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood la kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi hii, wengi wajeruhiwa. Taarifa zaidi baadaye.
PICHA ZITAKUJIA BAADAE
-GPL

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname