03 August 2014

VAZI LA KITENGE LA JOKATE MWEGELO KIDOTI LAWAKONGA MASHABIKI ...CHEKI ALIVYO PENDEZA




So good eeh kweli usuperstaa kazi, watu wengi wamezoea kujua kuwa mara nyingi superstaa lazma awe mwanamusiki,.kwasabab atakuwa anaimba almost kila siku n mwisho wa siku ataskika kwenye medias na kuonekana kwenye runinga n finally atakuwa staa, but kwa sasa hvi sio hvyo jana jokate alikua maeneo ya mbagala kwenye event flan,i na baadhi ya mashabiki kama unavyowaona hapo juu walijitokeza kwa wingi, many people were so inspired with wat she weird ziliskika sauti nyingi za mashabiki wakigunguka eeh jamany jokate umependeza it was waoh staa huyo alipata faraja sana na kuona still watu wanampenda, soo today akaamua kutupia picha hizo kwenye mitandao ya jamii ukiwemo na huu wa makubwa haya blog ili upate kuona mavazi ambayo yaliteka na kukonga nyoyo za mashabiki wake wengi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname