TISHA SANA: JIONEE PICHA YA CHUMBANI YA KIM NA KANYE INAYOBAMBA ZAIDI MTANDAONI..INA LIKES ZAIDI YA LAKI 8....!NI SHEEEDA!
Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashian ame-post picha
aliyopiga kwa camera ya mbele (selfie) wakiwa chumbani na Kanye West Picha yenyewe inamuonyesha Kanye West akiwa amelala na status yake ya
“Side chicks be like” ndio inaiongezea umaarufu. Hadi wakati post hii
inaenda hewani, picha imepata likes zaidi ya laki 8.
No comments:
Post a Comment