\
Picha
ya mwanamuziki wa nyimbo za mduara nchini, Shilole Mohamed aka SHISHI
BABY iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kama Insta.
Na
kuwaacha mashabiki midomo wazi wakijiuliza kama huyu ni Shilole wa
Igunga au Rihhana, kutokana na muonekane wake HOT n SEXY kama binti wa
chuo.
Du, Sishole ni balaa
ReplyDelete