06 August 2014

MAPRODUCER WAMTIMUA DIAMOND

Nyota wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, amesema licha ya kutafuta video zenye kiwango, pia dharau na mapozi ya watayarishaji wengi wa Tanzania yamechangia kuacha kutengeneza kazi zake nchini.


Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi kabla ya kwenda nchini Canada, Diamond alisema mtayarishaji unalipa hela kwanza ndio anakufanyia kazi zako, lakini watayarishaji wa hapa nchini ukishawalipa, kinachofuata ni usumbufu katika kukamilisha kazi.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname