12 August 2014

JEURI YA PESA ONA TAJIRI WA KWANZA DUNIANI BILL GATES NA MELI YAKE YA KUPUMZIKIA TU BAHARINI NA FAMILIA YAKE!!


article-2719109-2057AB6700000578-788_634x422

Katika boti hiyo helikopta zinamchukua Gates kumpeleke nchi kavu kucheza golf na kumrudisha Ni tajiri namba moja duniani mwenye utajiri unaofikia dola bilioni 79.2 hivyo kutumia shilingi bilioni nane kwa wiki si kitu kinachoweza kumpunguzia chochote Bill Gates.Na ndio maana Bill Gates yupo mapumzikoni ambayo tunategemea kwa mtu tajiri zaidi duniani ayafanye. 
article-2719109-2057BE7A00000578-683_634x422

article-2719109-20578E4800000578-901_634x366
The Serene Gates yupo kwenye boti hiyo kubwa na mke wake Melinda na watoto wake Rory, Jennifer na Phoebe nchini Italia. Mwanzilishi huyo wa Microsoft ameamua kupumzika kwa kukodi yacht hiyo iitwayo The Serene yenye ukubwa wa futi 436 inayomilikiwa Yuri Scheffler. article-2719109-20578E4400000578-635_634x423
Muonekano wa sehemu moja wapo ya ndani article-2719109-2053BB8300000578-962_634x497 article-2719109-2053BBC000000578-614_634x539 
article-2719109-2053BC0200000578-210_634x514

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname