Irene Uwoya - ASEMA "SIPENDI KUVAA NGUO YA NDANI NA SINA KABISA KABATINI"
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya
amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli.
Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na
magazine ya burudani
ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni
vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi”
Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.
No comments:
Post a Comment