28 April 2015

DIAMOND NA ZARI THE BIG BOSS LADY NDIO HABARI YA TOWN


Diamond Platinums akiwa na Mpenzi wake Zari mara tu baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wakitokea Zanzibar ambao Diamond Alifanya Show Bab kubwa na Kuacha Historia katika Maeneo yote ya Zanzibar.Wawili hao wamewasili Dar tayari kwa Maandalizi ya Mwisho ya Show Kubwa ya Zari Ijulikanayo Kama White Party Itakayofanyika Mwishoni Mwa wiki katika Ukumbi wa Mlimani City.


BOFYA KUONA PICHA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname